Waasi wa M23 waingia DRC - BBC Swahili...
Waasi wa M23 waingia DRC - BBC Swahili https://t.co/YwzEnwlqPH
January 15, 2017
Waasi wa M23 waingia DRC - BBC Swahili
Utawala nchini Jamhuri ya Demokarsi ya Congo unasema kuwa karibu watu 200 waliokuwa wanachama wa kundi la waasi wa M23 wameingia nchini mwake kutoka nchi jirani ya Uganda. Msemaji wa serikali Lambert Mende, amesema kuwa jeshi la Congo limekabiliana na watu hao. Ameilaumu Uganda kwa kuwaruhusu watu hao kuvuka mpaka.
http://www.bbc.com/swahili/habari-38627903?ocid=socialflow_facebook