genocide
FARDC vs M23/RPF 6.11.2022: NINI KINAENDELEA HAKIKA DHIDI YA UONGO ULIOKO KWENYE SOCIAL MEDIA?
Mapambano dhidi ya jeshi letu la DRC na M23/RDF ya Rwanda yanaendelea na wengi wetu hawajuwi nini kinaendelea kwenye uwanja wa mapambano. Mbali na uvumi ulioko kwenye social media tunawaomba Wakongo ndugu zetu mjipe moyo maana ukombozi wa kweli kweli...